HATMA YA DHAMANA YA MBUNGE LEMA KUJULIKANA LEO JIJINI ARUSHA
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 12:18 PM
Mwenyekiti
wa CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman Mbowe ( wa pili kutoka kulia) akiwa na
Katibu Mkuu wa CHADEMA Taifa, Dkt. Vincent Mashinji ( Wa kwanza kulia),
Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu, Mhe. Edward Lowassa (Wa
pili kushoto) na Waziri Mkuu Msaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu, Mhe.
Federick Sumaye wakiwa ndani ya Mahakama Kuu jijini Arusha, Leo Ijumaa
03/03/2017 ambapo kesi ya Mbunge wa Arusha, Mhe. Godbless Lema kuhusu
dhamana yake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: