WIZARA YA FEDHA YALIOMBA BUNGE SHILINGI TRILIONI 12.058 MWAKA WA FEDHA 2018/19

 Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake, Bungeni Jijini Dodoma, ambapo ameliomba Bunge, kuiinidhinishia Wizara hiyo kukusanya na kutumia shilingi trilioni 12.058, ambapo shilingi trilioni 10.763 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi trilioni 1.295 kwa ajili ya matumizi ya maendeleo, katika mwaka wa fedha 2018/19.
 Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake, Bungeni Jijini Dodoma, ambapo ameliomba Bunge, kuiinidhinishia Wizara hiyo kukusanya na kutumia shilingi trilioni 12.058, ambapo shilingi trilioni 10.763 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi trilioni 1.295 kwa ajili ya matumizi ya maendeleo, katika mwaka wa fedha 2018/19.
 Baadhi ya viongozi wa Waziri wa Fedha na Mipango, wakifuatilia Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo, ambapo Bunge limeombwa, kuiidhinishia Wizara hiyo kukusanya na kutumia shilingi trilioni 12.058, ambapo shilingi trilioni 10.763 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi trilioni 1.295 kwa ajili ya matumizi ya maendeleo, katika mwaka wa fedha 2018/19.
 Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.  Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), na Naibu wake Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), wakifutilia kwa makini michango ya waheshimiwa wabunge walioanza kuchangia Bajeti ya Wizara hiyo, ambayo imeomba kudhinishiwa kiasi cha shilingi trilioni 12.058 kwa mwaka wa fedha 2018/19, Bungeni, Jijini Dodoma.
 Mhe. Martha Mlata, Mbunge wa Viti Maalum wa Jimbo la Singida, akimpongeza Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), baada ya kuwasilisha Bungeni Mjini Dodoma, Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo ambapo ameliomba Bunge, kuidhinisha Wizara yake kukusanya na kutumia shilingi trilioni 12.058, ambapo shilingi trilioni 10.763 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi trilioni 1.295 kwa ajili ya matumizi ya maendeleo, katika mwaka wa fedha 2018/19
 Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akifurahia jambo na Mhasibu Mkuu wa Serikali, CPA Francis Mwakapalila (kushoto) na Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bw. Mohammed Mtonga, nje ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma,  ambapo ameliomba Bunge, kuidhinishia Wizara yake kukusanya na kutumia shilingi trilioni 12.058, kiasi cha shilingi trilioni 10.763 kikiwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi trilioni 1.295 kwa ajili ya matumizi ya maendeleo, katika Mwaka wa Fedha 2018/19
 Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwa katika Picha ya Pamoja na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, Mnaibu Katibu Wakuu, Wakuu wa Idara na Vitengo na wafanyanyakazi wengine wa Wizara hiyo, nje ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma, Baada ya kuwasilishwa kwa Bajeti ya Wizara hiyo, ya shilingi trilioni 12.058.
 Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), akiteta jambo na Kaimu Msajili wa Hazina, Bw. Mafutah Bunini, nje ya viwanja vya Bunge Jijini Dodoma, baada ya Wizara hiyo kuliomba Bunge, kuiinidhinishia  shilingi trilioni 12.058, ambapo kiasi cha shilingi trilioni 10.763 kikiwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi trilioni 1.295 kwa ajili ya matumizi ya maendeleo, katika Mwaka wa Fedha 2018/19
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa, akizungumza jambo na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Susana Mkapa, nje ya Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma, baada ya Wizara hiyo kuliomba Bunge, kuiinidhinishia  shilingi trilioni 12.058, ambapo kiasi cha shilingi trilioni 10.763 kikiwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi trilioni 1.295 kwa ajili ya matumizi ya maendeleo, katika Mwaka wa Fedha 2018/19.(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha na Mipango-Dodoma)

1 comment:

  1. Situs Judi Online Casino Terbaik No. #2 di Indonesia
    Situs slot online terpercaya Indonesia menyediakan game populer seperti Casino Online, judi bola, slot 샌즈카지노 joker123, 바카라사이트 slot88 dan 메리트카지노총판 casino online dengan

    ReplyDelete