je?, unapata maumivu makali ya muda mfupi mara utumiapo vitu vya baridi, vyamoto au vitamu?(ndiyo/hapana)
Je?umeacha kutumia baadhi ya vyakula kama icecream sababu ya maumivu makali ya jino/meno(ndiyo/hapana)
kama majibu ni ndiyo kwa maswali hayo, Suluhisho lake ni dawa ya meno iitwayo "SENSODYNE MULTCARE",au "SENSODYNE FRESHY MINT" (PICHA NA KHAMISI MUSSA) MOROGORO
0 comments: