RAIS SAMIA ATANGAZA KIFO CHA ALI HASSAN MWINYI

  RAIS Samia Suluhu Hassan ametangaza msiba wa Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi kilichotokea majira saa 11 jioni katika Hospitali ya Mzena, jijini Dar es Salaam 

Amesema kuwa Mzee Mwinyi alikuwa anasumbuliwa na saratani ya mapafu anatarajiwa kuzikwa Unguja- Zanzibar Machi 2, 2024.


Wakati wa maombolezo bendera zitapepea nusu mlingoti kwa siku 7.

0 comments: