WAOMBOLEZAJI WAKIJIANDAA KUUSHUSHA MWILI WA DKT. DICKSON NYUMBANI KWAO NGARA

Waombolezaji wakijiandaa kuushuka mwili wa Marehemu Dickso Nahimana katika Makaburi ya nyumbani kwao Ngara. 

Dkt. Dickson Nahimana Sahini alikuwa Daktari wa Meno Daraja la Kwanza 1) ambapo alipoteza Maisha Tarehe 05, Januari 2024. katika Hospitali hiyo ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara -Ligula baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Baadhi ya wanandugu na na Mke wa Marehemu pampa na watoto wa marehemu Dkt. Nahimana wakitoa heshika za mwisho kwa kuweka Mchanga kwenye Kaburi.
Baadhi ya wanandugu na na Mke wa Marehemu pampa na watoto wa marehemu Dkt. Nahimana wakitoa heshika za mwisho kwa kuweka Mchanga kwenye Kaburi.
 
0 comments: