KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kilichofanyika leo 15-1-2024, katika Mkoa wa Kusini Unguja.(PICHA ZOTE NA IKULU.

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,kabla ya kuaza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashuari ya CCM Taifa, kilichofanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja leo 15-1-2024 na (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhandisi Nassir na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Kassim Majaliwa.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika Ukumbi wa Kikao cha Kamati Kuu ya Hamashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja leo 15-1-2024, kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, na (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Kassim Majaliwa.
WAJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakisoma ajenda za Kikao hicho kabla ya kuaza, kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, kilichofanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja leo 15-1-2024.
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu, akiongoza Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja leo 15-1-2024, na (Kulia kwa Mwenyekiti ) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
WAJUMBE wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akifungua Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja leo 15-1-2024.
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt.Emanuel Nchimbi akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, baada ya kutangzwa kwa Wajumbe katika Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa kilichofanyika katika Mkoa wa Kusini Unguja leo 15-1-2024, kilichoongwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan.

0 comments: