MAMIA WAJITOKEZA KUUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA IDARA YA KINYWA NA MENO HOSPITALI YA RUFAA MKOA- LIGULA

   DKT. DICKSONI NAHIMANA SAHINI  (2024 1982-2024).
 Gari namba Moja likibeba waombolezaji mara baada ya kutoa heshima za mwisho nyumani kwao Mbagala Chamazi na kuelekea Ngara. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).


  Mama wa Marehemu Dkt. Dickson Sahini (wa pili kulia) akizungumza jambo na waombolezaji walio fika nyumani kwa kumfariji. 
Nyumbani kwao Marehemu
Baba wa Marehemu Dkt. Dickson Sahini (wa kwanza) akizungumza   akitokea eneo la getini hapo kwake baada ya kuwasindikiza baadhi ya waombolezaji 


   Waombolezaji wakimfariji Baba wa Marehemu Dkt. Dickson Sahini (aliye vaa flana ya bluu) .

0 comments: