UVCCM JIMBO LA ILALA WATOA ZAWADI KWA WATOTO WENYE MATATIZO YA MOYO JKCI

 

Mwenyekiti wa  Umoja wa Vijana  wa Chama Cha Mapinduzi  (UVCCM) jimbo la Ilala Boaz Stanton akimkabidhi Mkuu wa Kitengo cha Ustawi wa Jamii wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Asha Salum zawadi mbalimbali kwa ajili ya watoto waliolazwa  katika Taasisi hiyo pamoja na walezi wao wanaowauguza.
Mwenyekiti wa  Umoja wa Vijana  wa Chama Cha Mapinduzi  (UVCCM) kata ya Mchikichini Anna Msala  akimkabidhi zawadi Monica Mayunga ambaye  mtoto wake anatibiwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati viongozi hao wa UVCCM jimbo la  Ilala walipotembelea JKCI leo kwa ajili ya kutoa zawadi kwa watoto waliolazwa  katika Taasisi hiyo pamoja na walezi wao wanaowauguza.
 Mwenyekiti wa  Umoja wa Vijana  wa Chama Cha Mapinduzi  (UVCCM) kata ya  Upanga Magharibi  Salma Ishaq akimkabidhi zawadi  Ester  Yohana kwa ajili ya mtoto wake aliyelazwa  katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati viongozi hao wa UVCCM jimbo la Ilala walipotembelea JKCI leo kwa ajili ya kutoa zawadi kwa watoto waliolazwa  katika Taasisi hiyo pamoja na walezi wao wanaowauguza.
 Katibu Umoja wa Vijana  wa Chama Cha Mapinduzi  (UVCCM) kata ya  Gerezani Bahvii Sarjity   akitoa zawadi kwa Jamila Kibwana kwa ajili ya mtoto wake aliyelazwa katika   Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati viongozi hao wa UVCCM jimbo la Ilala walipotembelea JKCI leo kwa ajili ya kutoa zawadi kwa watoto waliolazwa  katika Taasisi hiyo pamoja na walezi wao wanaowauguza.
   Viongozi wa Umoja wa Vijana  wa Chama Cha Mapinduzi  (UVCCM) jimbo la  Ilala wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) mara baada ya kuwakabidhi zawadi mbalimbali kwa ajili ya watoto waliolazwa katika Taasisi hiyo pamoja na walezi wao wanaowauguza. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)

0 comments: