MAKALA APOKE BAADHI YA VIONGOZI WA CHADEMA

 

  Katibu Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa na Mlezi wa Mkoa  wa Dar es Salaam Ndg. CPA Amos Makala akimtambulisha Mshauri Mkuu wa Sera na Uchumi - CDM  Dkt. Albanie Marcossy (kushoto) wakati wa Mkutano  wake wa hadhara uliofanyika leo Tandika Azimio mara baada ya Dkt. huyo kutangaza kuwa anarudi nyumbani akimaanisha kutoka katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).
  Katibu Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa na Mlezi wa Mkoa  wa Dar es Salaam Ndg. CPA Amos Makala akisaini kitabu cha wageni Agosti 28, 2024 mara alipofika katika Mkutano uliofanyika viwanja vya Azimio Tandika kulia ni Mwenyekiti Mkoa wa Dar es Salaam na aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu.

  Katibu Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa na Mlezi wa Mkoa  wa Dar es Salaam Ndg. CPA Amos Makala akiwaongoza Wananchi kuimba wimbo wakati wa Mkutano  wake uliofanyika leo Agosti 28, 2024 Tandika Azimio.

  Wanachi wakipunga mikono kwa ishara ya kumuunga mkono Katibu Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa na Mlezi wa Mkoa  wa Dar es Salaam Ndg. CPA Amos Makala wakati wa mkutano wake uliofanyika viwanja vya Azimio leo Agosti 28, 2024 Jijini Dar es Salaam.
  Mshauri Mkuu wa Sera na Uchumi - CDM  Dkt. Albanie Marcossy akimtambulisha mmoja wa Mwanachama alieongozana nae kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Bokassa (kushoto) wakati wa Mkutano wa hadhara uliofanyika leo Agosti 28, 2024. kulia ni Katibu Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa na Mlezi wa Mkoa  wa Dar es Salaam Ndg. CPA Amos Makala 

  Kwaya  ya U.W.T Wilaya ya Temeke yawasha moto yaimba wimbo wa kuhamasisha uchaguzi wa Serikali za Mitaa wakati wa mkutano wa hadhara wa Katibu Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa na Mlezi wa Mkoa  wa Dar es Salaam Ndg. CPA Amos Makala uliofanyika leo Agosti 28, 2024  viwanja vya Azimio Tandika.
   Wanachama wakimsikiliza  Katibu Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa na Mlezi wa Mkoa  wa Dar es Salaam Ndg. CPA Amos Makala wakati wa Mkutano wake uliorindima viwanja vya Azimio Tandika leo Agosti 2024.
  Aliekuwa Mkurugenzi wa Habari na Uenezi  Chama cha Wananchi CUF Taifa na Mjumbe wa Baraza Kuu Abdul Kambaya akizungumza jambo wakati wa Mkutano wa hadhara wa Katibu Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa na Mlezi wa Mkoa  wa Dar es Salaam Ndg. CPA Amos Makala  uliorindima viwanja vya Azimio Tandika leo Agosti 2024.


  Mwenyekiti CCM Mkoa wa Dar es Salaam na aliekuwa Mbunge Jimbo la Temeke  Abbas Mtemvu amewaomba wananchi wa Jimbo la Temeke wampokee Amosi Makala kwani  Mwenyezi Mungu ametujaalia Mama Samia na Halmashauri Kuu na Kamati Kuu imetupa mlezi ndugu yetu Amos Makala 
  Alhaji. Uzairu Athumani ambae ni Diwani Tandika akiwapongeza  Kwaya  ya U.W.T Wilaya ya Temeke mara baada ya kutumbuiza wimbo wa kuhamasisha uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwenye mkutano wa hadhara wa Katibu Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa na Mlezi wa Mkoa  wa Dar es Salaam Ndg. CPA Amos Makala uliofanyika leo Agosti 28, 2024  viwanja vya Azimio Tandika.


   Kocha wa Dunia na Kiongozi wa Bendi ya Speacial Band Mwinjuma Muumini akitoa burudani wakati wa mkutano wa hadhara wa Katibu Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa na Mlezi wa Mkoa  wa Dar es Salaam Ndg. CPA Amos Makala uliofanyika Azimio Tandika leo 28, Agosti 2024.

   Mbunge wa Jimbo la Temeke Dorothy Kilave akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara wa Katibu Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa na Mlezi wa Mkoa  wa Dar es Salaam Ndg. CPA Amos Makala juu ya mambo makubwa anayo yafanya Mhe. Rais Mama Samia hasa katika jimbo la Temeke na kutoa pongezi za dhati kwake akishirikiana na viongozi wote wanaomsaidia Rais
  Baadhi ya Watoto wakifuatilia Mkutano wa Katibu Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa na Mlezi wa Mkoa  wa Dar es Salaam Ndg. CPA Amos Makala uliofanyika leo Agosti 28, 2024. Tememe

Diwani Kata ya Azimio Amina Lalani akiwatunza watumbuizaji wa Bendi ya Kussa mara baada ya kuonyesha umahiri wa kwenye mkutano wa hadhara wa Katibu Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa na Mlezi wa Mkoa  wa Dar es Salaam Ndg. CPA Amos Makala uliofanyika leo Agosti 28, 2024. Tememe

 Katibu Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa na Mlezi wa Mkoa  wa Dar es Salaam Ndg. CPA Amos Makala akimvisha shati Mshauri Mkuu wa Sera na Uchumi - CDM  Dkt. Albanie Marcossy aliejiunga na CCM akitokea Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema.

0 comments: