Baadhi ya Waalikwa wakiwa kwenye uzinduzi wa Kituo hicho.
Dk. Hamisa Iddy Khamis akitoa utangulizi na utambulisho wakati wa uzinduzi wa kituo hicho.
Mkurugenzi wa Tiba na mtaalam wa utoaji huduma za Lishe Dr. Rehema Mzimbiri akizungumza na baadhi ya Waalikwa waliofika katika uzinduzi wa Kituo hicho.
Akizungumza mwishoni mwa hafla hiyo, Dr. Mbobezi wa Upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu wa The Cure Specialized Polyclinic Dk. Juma Magogo Mzimbiri, alisema kituo hicho kina uwezo wa kupokea wagonjwa hadi 50 kwa siku.
Baadhi ya Madaktari wakiwa katuika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi
0 comments: