MUFTI KUONGOZA SWALA YA JENEZA YA HAYATI RAIS WA AWAMU YA PILI. MZEE MWINYI.

  Taarifa ya Mh. Waziri mkuu Kassim Majaliwa imesema Mwili wa Hayati Alhaj Ali Hassan Mwinyi utawasili Msikiti wa mfalme Mohammed VI Bakwata makao makuu Saa tano asubuhi hii.


Kwa upande mwingine katibu mkuu wa Bakwata Alhaj Nuhu Mruma amesema Maandalizi kupokea mwili wa Kipenzi cha watanzania yamekamilika na kwamba Swala ya jeneza itaswaliwa mara tu baada ya swala ya Ijumaa ikiongozwa na Samaha Mufti Dr. Abubakar Zubeir

.....

Dr. Harith Nkussa

Na. 

Mwandishi wetu. 

Ijumaa 1.3.2024

Dar es salaam.

0 comments: