SHEIKH ABUBAKARY ZUBER ACHAGULIWA KUWA MUFTI WA TANZANIA

Wakatikati ni Mufti mpya Sheikh Abubakary Zuber ambaye amechaguliwa  na wajumbe wa BAKWATA mkoani Dodoma kuwa Mufti wa Tanzania akichukua nafasi ya hayati Sheikh Issa Bin Simba.

0 comments: