USIKU WA HILDA TEMU KATIKA SHEREHE YA KUMUAGA (SEND-OFF PARTTY) KATIKA UKUMBI WA DOLPHINE DAR ES SALAAM

 Bi Harusi Hilda katika pozi kabla ya kuingia Ukumbini (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 Bi Harusi mtarajiwa Hilda akiwa amepozi na Matroni wake Felister Mramba, wakati wa Sherehe yake inayo endelea sasa hivi katika ukumbi wa Dolphine

 Matroni Felister Mramba ambaye ni mfanyakazi Wizara ya Afya  akiwa anapambwa kabla ya kwenda katika Sherehe hiyo
 Bi Harusi mtarajiwa akipambwa kabla ya kwenda katika Sherehe yakea ambayo inarindima mida hii katika Ukumbi wa Dolphine


 Matroni akiwa katika pozi
 Bi Harusi Hilda akiwa katika picha na Matroni 



 Glory Temu (kushoto) akiwa amemkumbatia shangazi yake ambaye ni Bi Harusi mtarajiwa Hilda Temu,  kabla ya kuingia Ukumbini









0 comments: