LOWASSA – NZEGA MJINI

Chopa ya Mgombea Urais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, ikitua eneo la Uwanja wa Mkutano, huku wananchi wa Nzega wakiishangilia, 
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, alieambatana na Mwenyekiti wake, Mh. Freeman Mbowe wakiwasili kwenye Uwanja wa Polisi Nzega, tayari kwa Mkutano wa Kampeni.
Baadhi ya wananchi wa Mji wa Nzega, Mkoani Tabora wakimshangilia Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,wakati wa Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Nzega
Mgombea wa Ukawa alieteuliwa kuwania Ubunge wa Jimbo la Nzega Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Charles Mabula akizungumza na wananchi wake kabla ya kupigiwa kura ya wazi iliyompitisha kuwania nafasi hiyo na kumtupa nje Mwezake wa Chama cha CUF, Mezza Leonard (hayupo pichani), wakati wa Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Nzega, .Kushoto ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe

0 comments: