HATIMAE SAUTI YA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MISUGUSUGU IMESIKIKA

 Baada ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Misugusugu kugongwa na Gari lililodhaniwa ni gari la Polisi hali ilivyokuwa siku ya tukio hivi karibuni,
 Usalama kwanza

 Wanafunzi pichani wakidai kuwekewa matuta 

 Wananchi wakiweka magogo Barabarani
 Raia akiongea na Askari jambo


 Magogo yaliwashwa
 Mwananchi akionyesha ganda la Risasi (PICHA KWA HISANI YA UJIJIRAHAA BLOG)
 Hapa ni utekelezaji wa kilio cha Wanafunzi wa Shule ya Msingi Misugusugu iliyopo Kibaha,  wakiwekewa Rasta za matuta madogo yatakayo mfanya Dereva kupunuza mwendo, ambapo Fokas Lenzi ya kamera ya ujijirahaa blog ilipita eneo la tukio   jana jioni ikishuhudia uwekaji wa rasta hizo na kujionea msongamano wa foleni (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 Pichani ni magari yakiwa katika


 Mafundi wakiweka rasta hizo

Magari yakiwa katika foleni

0 comments: