RAIS KIKWETE AZINDUA KAMPENI MAALUM YA KUITANGAZA TANZANIA NA VIVUTIO VYA UTALII KIMATAIFA

 Rais Jakaya Kikwete, akizungumza wakati akizindua kampeni maalumu ya kuitangaza Tanzania na vivutio vya utalii kimataifa uliofanyika jana usiku katika Hoteli ya Hyatt Kempinski, Dar es Salaam.
 Rais Jakaya Kikwete, akizindua kampeni maalumu ya kuitangaza Tanzania na vivutio vya utalii kimataifa uliofanyika jana usiku katika Hoteli ya Hyatt Kempinski, Dar es Salaam. (Kushoto) ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu. wa tatu kushoto  ni Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Dk. Adelhme Meru na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devota Mdachi.
 Rais Jakaya Kikwete (wapili kushoto), akizindua kampeni maalumu ya kuitangaza Tanzania na vivutio vya utalii kimataifa uliofanyika jana usiku katika Hoteli ya Hyatt Kempinski, Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu. (wa pili kulia ) ni Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Dk. Adelhme Meru na wakwanza kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devota Mdachi.
 Wajasilia mali na wadau wa utamaduni walikuwepo katika kunogesha uzinduzi huo, ambapo vitu mbalimbali vya utamaduni ziliuzwa.
 Waziri  wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mahamoud Mgimwa, wakifuatia kwa makini uzinduzi wa mkakati huo
  Ngoma ya watanashati au Wazee wa Mnanda walikuwepo kutoa burudani kwa wageni.
 Rais Jakaya Kikwete na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Adelhme Meru, wakishangilia baada ya uzinduzi wa tangazo hilo.

0 comments: