WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU WASWALI SWALA YA EID AL ADHA

 

Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiwa katika Swala ya Eid al Adha iliyoswaliwa Msikiti wa Maryamzain ambapo swala hiyo iliyoswalishwa na Imamu wa Msikiti huo Juma Mussa leo 17, 6,2024 na Hutba na kutolewa na Imamu huyo maeneo ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam  
Waumini wakiwa nje ya Msikiti wakipongezana mara baada ya Swala ya Eid al Adha maeneo ya Kigamboni Dar es Salaam leo 17, 6,2024. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)

0 comments: