WAPATA USAFIRI WA UHAKIKA

  Wakazi wa Kigamboni na viunga vyake mwelekeo wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Wapata usafiri wa Uhakika na kupunguza ucheleweshwaji wa kwenda kupata matibabu, kuona wagonjwa na wengine kupeleka chakula kwa wapendwa wao baada ya kupata usafiri wa uhakika Vijibweni Muhimbili.

 

0 comments: