WAKAZI WA ILALA WAPATIWA HUDUMA MAGONJWA YA MOYO BILA MALIPO

 

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edwald Mpogolo akizungumza na Wananchi wakati wa uzinduzi wa zoezi la upimaji wa afya bila malipo kwa wakazi wa Dar es Salaam leo 26,6,2024 katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini humo ambapo kampeni hiyo afyachech ni mwendelezo wa siku 10 inayofanyika katika Halmashauri zote tano za Mkoa wa Dar esSalaam. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Daktari wa watoto Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group Gloriamaria Kunambi akimfanyia kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiography-ECHO) mtoto aliefika katika kampeni ya afyacheck inayofanyika katika viwanja vya Mnazi MmojaJijini Dar es Salaam. Kampeni hiyo ni mwendelezo wa wa upimaji wa siku 10 unaofanyika katika Halmashauri zote tano za Mkoa wa DAR ES salaam. kulia ni Daktari Marsia Tillya wa moyo Hospitali ya Dar Group
  Daktari wa watoto Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group Agnes Ndangamila akimsahuri mwananchi alietembelea banda la JKCI wakati wa uzinduzi wa zoezi la upimaji wa afya bila malipo kwa wakazi wa Dar es Salaam leo 26,6,2024 katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini humo ambapo kampeni hiyo afyachech ni mwendelezo wa siku 10 inayofanyika katika Halmashauri zote tano za Mkoa wa Dar esSalaam. 
Mratibu wa kudhibiti  maambukizi ya VVU na Ukimwi, magonjwa ya ngono na homa ya Ini katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Daktari  Aisha Zuheri akizungumza na  Mwananchi jinsi ya kutumia kipimo cha jipime wakati wa uzinduzi wa zoezi la upimaji wa afya bila malipo kwa wakazi wa Dar es Salaam leo 26,6,2024 katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini humo ambapo kampeni hiyo afyachech ni mwendelezo wa siku 10 inayofanyika katika Halmashauri zote tano za Mkoa wa Dar es Salaam.

0 comments: