RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA.

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), kilichokutana jijini Dar Es Salaam leo tarehe 30 Juni 2024.






 

0 comments: