TAASISI YA MOYO (JKCI) YAIBUKA KIDEDEA MFANYAKAZI BORA 2024

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimkabidhi cheti cha pongezi Afisa Muuguzi Mkuu Msaidizi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Robert Yeyeye kwa kuwa mfanyakazi bora  wa  mwaka 2024.
 

0 comments: