TANZIA

Enzi ya uhai wake

Picha ya wanandugu
Ndugu katika picha ya pamoja
mwili utasafirishwa Januari 25 2018 kuelekea Machame Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro ambapo taratibu za kumpumzisha katika nyumba yake ya milele zinatarajiwa kufanyika Januari 26 2018 katika makaburi ya familia yaliopo eneo la kitongoji cha Nkwetengya mida ya saa Nane mchana





Katibu Mkuu Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Godfrey Nkini akizungumza jambo











Laura Silvesta Mattunda Lema akisoma wasifu wa mama yake mzazi


Mume wa mahemu  Sylvester Mattunda (wa pili kushoto)  akiwa katika picha ya pamoja  na ndugu na jamaa
Sylvester Mattunda  Ukoo wa Lema (kulia) akito heshima zake za mwisho kwa mpendwa mke wake akiongozana na watoto
Wanandugu wakiuandaa mwili kabla ya kuto heshima za mwisho

Waombolezaji wakipita mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Lulu Sylvester Mattunda wakati walipokua wakitoa heshima za mwisho katika kanisa la Ushirika wa KKKT Sinza Dar es Salaam


Mchungaji kiongozi  wa Ushirika la KKKT Sinza, Ibrahim Mnanka akiombea safari baada kuiendesha Ibada hiyo
Wauguzi waliosoma na marehemu katika Chuo cha Uuguzi KCMC katika mwaka wa 1984-1987wakikabidhi shada la Ua kwa Familia ya Sylvester Mattunda  baada ya kusoma risala yao fupi




0 comments: