MKURUGENZI MTENDAJI HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI (MNH) ANATARAJIWA KUWA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE YA KURUGENZI YA UUGUZI NA UKUNGA

Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru  anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Sherehe ya kuuaga na kukaribisha mwaka 2017/2018 , Sherehe iliyo andaliwa na kurugenzi ya Uuguzi na Ukunga inayotarajiwa kufanyika 12 Januari, 2018 katika Ukumbi wa Pink Diamond Bahari Beach kuanzia Saa 6.30 Mchana ambapo kutakua na michezo mbalimbali na mgeni rasmi anatarajiwa kufika Saa 10.00  jioni. Hayo yamethibitishwa na Kamati ya maandalizi imetoa na maelekezo ya kufika eneo la tukio.

Panda basi (Daladala) la Ununio kupitia Bahari Beach ambapo madasi yanapatikana Makumbusho na baada ya kupanda utashuka Barabara ya Mwaitenda na utaona kibao kinacho elekeza Ukumbi wa Pink Diamond lipo. karibuni. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)

0 comments: