MAKAMU WA RAIS AFUNGUA SOKO LA KONDE-PEMBA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na viongozi wengine wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, wakiomba dua mara baada ya  ufunguzi wa soko la Konde lililopo  Wilaya ya Micheweni, Pemba  Januari 5, 2018. (PICHA ZOTE NA OFISI YA ,MAKAMU WA RAIS)

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Zanzibar, Mhe. Hamad Rashid Mohamed wakati alipowasili Konde tayari kwa  ufunguzi wa soko la Konde lililopo  Wilaya ya Micheweni, Pemba.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohamed Aboud Mohamed mara baada ya kuwasili Konde tayari kwa  ufunguzi wa soko la Konde lililopo  Wilaya ya Micheweni, Pemba
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipongezana na viongozi wengine mara baada ya ufunguzi wa soko la Konde lililopo  Wilaya ya Micheweni, Pemba.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipongezana na viongozi wengine mara baada ya ufunguzi wa soko la Konde lililopo  Wilaya ya Micheweni, Pemba.
 Sehemu ya wananchi waliohudhuria hafla fupi ya ufunguzi wa soko jipya la Konde lililopo Konde, Micheweni,Pemba.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia na viongozi wengine mara baada ya ufunguzi wa soko la Konde lililopo  Wilaya ya Micheweni, Pemba.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa hafla fupi ya ufunguzi wa soko la Konde lililopo  Wilaya ya Micheweni, Pemba.

0 comments: