MTEMVU APOKEA WANACHA 400 (U.W.T)

   Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam.  Abbasi Mtemvu akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu maalumu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania ya chama cha mapinduzi (U.W.T) kata ya Msigani kwa kuingiza wanachama wapya 400 wa jumuiya hiyo, Hafla fupi iliyofanyika leo 13/5/2023 katika Ukumbi wa Buricheka Jijini Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA). 

  Mjumbe wa halmashauri kuu ya Chama cha mapinduzi Taifa kutokea mkoa wa Dar es salaam. Juma Gaddafi akizungumza wakati wa Mkutano huo  amewaambia wana ccm wa Kata ya msigani kuwa mtaji wa chama cha siasa ni watu na kachukua fursa hiyo  kuwapongeza viongozi wa (U.W.T) kwa kuongeza wanachama wapya 400


MNEC amewaambia wana ccm wa kata hiyo ya msigani kuwa uchaguzi umeisha tuvunje makundi ya uchaguzi nia na madhumuni  2024 letu liwe moja na msigani Ngome kuu ya Chama cha mapinduzi. Msigani ikiwa ngome kuu ya  ccm  ata diwani 2025 atapatikana wa ccm na mama yetu kipenzi Rais Samia suluhu Hassan  atapata kura za kutosha.

   Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam.  Abbasi Mtemvu (wa tatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa CCM

Wanachama (U.W.T) wakishangilia wakati Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam.  Abbasi Mtemvu

Katibu Tawi Msigani Joshua Mwalimu akifungua Mkutano kwa maombi ya Dini ya Kikristo.
Mwenyekiti  Baraza la Wazee Kata ya Msigani na Mwenyekiti Tiba Asili Wilaya ya Ubungo Sheikhe Kitabu akifungua Mkutano kwa Dua.

  Mjumbe wa Halmashauri Kuu (U.W.T) Wilaya ya Ubungo na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Kibo  Sophia Fitina akizungumza katika hafla hiyo.
  Kaimu Katibu (U.W.T). Hyacintha Mkandawire akizungumza jambo 
  Mwenyekiti (U.W.T) kata ya Msigani Winifrida Muhiji akizungumza kwenye hafla huo.

  Mwenyekiti wa (U.W,T) Msigani Winifrida Muhiji akizungumza kwenye hafla hiyo.
  Mwenyekiti wa (U.W.T) Msigani Winifrida Muhiji (wa tatu kulia) akiwa na baadhi ya viongozi wenzake wakimkabidhi zawadi ya Picha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam.  Abbasi Mtemvu.
  Mwenyekiti wa (U.W.T) Msigani Winifrida Muhinji akimkabidhi zawadi ya kitenge Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam.  Abbasi Mtemvu.
  Mwenyekiti wa (U.W.T) Msigani Winifrida Muhinja akimkabidhi zawadi ya kitenge Mwenyekiti Mtemvu.
  Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam.  Abbasi Mtemvu akiwa katika picha ya kumbukumbu na Viongozi wa (U.W.T) Msigani. kushoto kwake ni MNEC Juma Gadaffi.

  Kaimu Katibu Kata ya Msiganj (U.W.T) Saudan Hadgama akisoma risala  wakati wa Mkutano Mkuu maalumu wa Jumuiya ya Chama hicho. 
Kaimu Katibu Kata ya Msiganj (U.W.T) Saudan Hadgama akikabidhi risala kwa Mwenyekiti CCM Mkoa wa Dar es Salaam.  Abbasi Mtemvu wakati wa Mkutano Mkuu maalumu wa Jumuiya ya Chama hicho.

Mmoja kati ya wanachama 400 akipokea kadi kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam.  Abbasi Mtemvu.
Wanachama wapya wakila kiapo baada ya kukabidhiwa Kadi za (U.W.T).
Wanachama wapya wakila kiapo baada ya kukabidhiwa Kadi za (U.W.T).
Wanachama wapya wakila kiapo baada ya kukabidhiwa Kadi za (U.W.T).


  Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam.  Abbasi Mtemvu akimkabidhi cheti cha ushiriki Mwenyekiti (U.W.T) Tawi la Malamba Asilia Rehema Kumbakumba


  Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam.  Abbasi Mtemvu akimkabidhi cheti cha ushiriki Mjumbe Kamati ya Utekelezaji (U.W.T) Wilaya ya Ubungo. Kushoto ni Mwenyekiti (U.W.T) Wilaya ya Ubungo Samina Mashauri na Mwenyekiti (U.W,T) Msigani. Winifrida Muhiji   


 Mwenyekiti CCM Mkoa wa Dar es Salaam. Abbasi Mtemvu akimkabidhi cheti cha ushiriki Mwenyekiti (U.W,T) Msigani. Winifrida Muhiji  

  MNEC DSM Juma Gadaffi akizungumza na kumkaribisha Mwenyekiti Mtemvu kuhutubia
 MNEC Juma Gadaffi akizungumza na kumkaribisha Mwenyekiti Mtemvu kuhutubia
  Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam.  Abbasi Mtemvu akiwasa kuendelea kuwa na hamasa mara unapopigwa wimbo unaomgusa Mwenyekiti wetu Rais.
  Mwenyekiti Mtemvu akishiriki kuimba wimbo wa kumsifu Rais Samia. ambapo Ukumbi ulichangamka. 


Mwenyekiti Mtemvu akikata Keki ambayo kisha ilinadiwa ili kupatikana pesa kutunisha mfuko wa mradi wa (U.W.T) Msigani. kushoto ni Mwenyekiti (U.W.T) Wilaya ya Ubungo Samina Mashauri na Mwenyekiti (U.W,T) Msigani. Winifrida Muhiji  

 Mwenyekiti wa CCM Dar es Salaam.  Abbasi Mtemvu akimlisha kipande cha keki Mjumbe Kamati ya utekelezaji (U.W.T) Wilaya ya Ubungo Tatu Madikah wakati wa Mkutano Mkuu maalumu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania ambapo wanachama wapya 400 wamejiumnga. Kushoto ni Mwenyekiti (U.W.T) Wilaya ya Ubungo Samina Mashauri


Baadhi ya Viongozi wakitoka Ukumbilini



Mwenyekiti CCM Mkoa wa Dar es Salaam katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali.

0 comments: