WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA 4G LTE YA TTCL MJINI DODOMA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza wakati alipozindua mtandao wa 4G LTE wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Februari 10, 2017.(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa , Spika wa Bunge Job Ndugai (wapili kushoto) na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na  Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa wakibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa   Mtandao wa 4G LTE  wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma . Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi  Edwin Ngonyani, kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Huawei Tanzania, Zhang Yongquan na kulia ni Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Waziri Kindamba.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa , Spika wa Bunge Job Ndugai (wapili kushoto) na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na  Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa wakibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa   Mtandao wa 4G LTE  wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma . Kushoto ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi  Edwin Ngonyani na kulia ni Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Waziri Kindamba.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai wakizungumza  kwa simu  ikiwa ni uzinduzi wa mtandao wa 4G LTE wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), kwenye  viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitembelea kujionea shughuli mbalimbali za TTCL
 Waziri Mkuu akizungumza wakati wa uzinduzi huo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kushoto) akiongozana na Waziri Profesa Mbarawa

0 comments: