SHEREHE ZA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 40 YA CCM MKOA WA DODOMA LEO, ZAFANA
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 10:21 AM
Katibu
Mkuu wa CCM, Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akihutubia katika sherehe
za Kilele cha Miaka 40 ya CCM mkoa wa Dodoma, zilizofanyika leo katika
ukumbi wa CCM wa Dodoma Convertion Centre nje kidogo ya mji wa Dodoma.
Makamu
Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula, akihutubia katika sherehe za
Kilele cha Miaka 40 ya CCM mkoa wa Dodoma, zilizofanyika leo katika
ukumbi wa CCM wa Dodoma Convertion Centre nje kidogo ya mji wa Dodoma.
Kulia ni Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa na Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinana
Viongozi wakiwa meza kuu baada ya kuwasili ukumbini kuendelea na sherehe hizo
Katibu
Mwenezi wa CCM, Humphrey Polepole akihamasisha katika sherehe za Kilele
cha Miaka 40 ya CCM mkoa wa Dodoma, zilizofanyika leo katika ukumbi wa
CCM wa Dodoma Convertion Centre nje kidogo ya mji wa Dodoma.

Wanachama wa CCM wakiwa wamefurika ukumbini wakati wa sherehe hizo
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akishauriana jambo na Waziri Mkuu
Majaliwa Kassim Majaliwa wakati wa sherehe hizo leo katika ukumbi wa CCM
wa Dodoma Convertion Centre nje kidogo ya mji wa Dodoma.
Baadhi ya viongozi kwenye sherehe hizo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: