WAZIRI MKUU APOKEA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 1, IKIWA NI MCHANGO WA TAASISI ZA UMMA, KUSAIDIA MAAFA YA TETEMEKO MKOANI KAGERA
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 11:54 AM
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea hundi ya shilingi
1,000,030,100/= kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi John Kijazi
(katikati) na Msajili wa Hazina, Lawrence Mafuru (kushoto) kwa ajili ya
waathirika wa tetemeko la ardhi lililotokea Kagera . Fedha hizo ni
michango ya watumishi wa serikali na Taasisi zake. Makabidhiano hayo
yalifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 20, 2016. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kupokea hundi ya
shilingi 1,000,030,100/= kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi
John Kijazi (katikati) na Msajili wa Hazina, Lawrence Mafuru (wapili
kulia), Lawrence Mafuru (kushoto) .Fedha hizo ni
michango ya watumishi wa serikali na taasisis zake na makabidhiano yalifanyika
Ofisni kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: