MAJALIWA AZINDUA MPANGO MKAKATI NA MRADI WA MABORESHO YA HUDUMA ZA MAHAKAMA YA TANZANIA
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 8:54 AM
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi wa Benki ya
Dunia wa nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia, Bella Bird (kulia kwake)
na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman (kulia) baada ya kuweka jiwe la
msingi la jengo la Hakimu Mkazi Mahakama ya Pwani na Mahakama ya wilaya ya
Kibaha Septemba 21,2016. Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi
Evarest Ndikilo.
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akionyesha Mpango Mkakati na Mradi wa Maboresho ya Huduma za
Mahakama ya Tanzania baada ya kuuzindua mjini Kibaha,
Wengine pichani kutoka kushoto ni Dkt. Hassison Mwakyembe, Waziri wa Katiba na
Sheria, Jaji Mkuu, Mohamed Othman Chande na Naibu Spika wa Bunge, Dkt Ackson
Tulia
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisaidiwa na Jaji Mkuu wa Tanzania,
Mohamed Chande Othaman kukata utepe wakati alipozindua Mpango Mkakati na
Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania mjini Kibaha.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania,
Mohamed Chande Othman baada ya kuwasili kwenye eneo inapojenjwa Mahakama
ya Hakimu Mkazi wa Pwani na Mahakama ya Wilaya ya Kibaha kuzindua Mpango
Mkakati na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge
Dkt, Tulia Ackson baada ya kuwasili kwenye eneo inapojenjwa Mahakama ya
Hakimu Mkazi wa Pwani na Mahakama ya Wilaya ya Kibaha kuzindua Mpango Mkakati
na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania .
Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Mhandisi Evarest Ndikilo akizungumza katika uzinduzi Mpango
Mkakati na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania ulifanywa
na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mjini Kibaha
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza
katika uzinduzi Mpango Mkakati na Mradi wa Maboresho ya
Huduma za Mahakama ya Tanzania ulifanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mjini
Kibaha .
Mkurugenzi wa Benki ya Dunia katika nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na
Somalia, Bella Bird akizungumza katika uzinduzi Mpango
Mkakati na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania ulifanywa
na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mjini Kibaha
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman akizungumza katika uzinduzi
katika uzinduzi Mpango Mkakati na Mradi wa Maboresho
ya Huduma za Mahakama ya Tanzania ulifanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
mjini Kibaha .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha Mradi wa Maboresho ya Huduma za
Mahakama ya Tanzania baada ya kuuzindua mjini Kibaha Septemba 21, 2016.
Wengine pichani kutoka kushoto ni Dkt. Hassison Mwakyembe, Waziri wa Katiba na
Sheria, Jaji Mkuu, Mohamed Othman Chande na Naibu Spika wa Bunge, Dkt Ackson Tulia
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi Mkurugenzi wa Benki ya Dunia wa
Nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia, Bella Bird kitabu cha Mradi wa
Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania baada ya kuuzindua
mjini Kibaha Septemba 21, 2016. Kushoto ni Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande
Othman na kulia ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Mpango
Mkakati na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania ulifanywa
na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mjini Kibaha Septemba 21, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifunua kitambaa kuashiria ufunhuzi wa jengo la Mahakama
ya Hakimu Mkazi Pwani na Mahakama ya Wilaya ya Kibaha Sptemba 21, 2016
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania,
Mohamed Chande Othman baada ya kuwasili kwenye eneo inapojenjwa Mahakama
ya Hakimu Mkazi wa Pwani na Mahakama ya Wilaya ya Kibaha kuzindua Mpango
Mkakati na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Mhandisi Evarest Ndikilo baada ya kuwasili kwenye eneo inapojenjwa
Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Pwani na Mahakama ya Wilaya ya Kibaha kuzindua
Mpango Mkakati na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Tanzania
Baadhi ya watumishi wa serikali na wananchi wengine
Baadhi ya watumishi wa serikali na wananchi wengine
Waziri Mkuu katika picha ya pamoja. (PICHA NA OFISI YA
WAZIRI MKUU)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: