MAGUFULI AUNGURUMA BUMBULI

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. Jonh Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Bumbuli, wilayani Lushoto, mkoani Tanga jana.
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Jonh Pombe Magufuli, jana amewahutubia wananchi wa jimbo la Bumbuli, wilayani Lushoto, mkoani Tanga wakati akinadi sera zake. Huu ni mwendelezo wa kampeni zake za kusaka kura kwa wananchi ili awe urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25

0 comments: