PICHA MBALIMBALI BARABARA KUU MKATA HADI TANGA.

 Wananchi wa eneo hili kwao ni adha kubwa ya maji ambapo chanzo cha  habari iliyo mfikia ripota wa blog ya ujijirahaa , kila dumu shilingi 700/ (PICHA ZOTE  NA RIPOTA BLOG YA UJIJIRAHAA)
 Gari likiwa katika mwendo maeneo ya kitumbi likielekea  mwelekeo wa Dar na haikufahamika mara moja niwapi likipelekwa kwa matengenezo kamalilivyo naswa na ripota wa blog ya ujijirahaa.
 Bango likiwa na ujumbe
 Bango la Kanisa la Baptist likionyesha ratiba za Ibada mbalimbali ambazo hufanyika kanisani hapo.
 Askari wa usalama barabarani wakiwa kazini japo hawana vibanda maalum ya kujikinga na juwa adha ni pale ikitokea mvua na nguo zao ni nyeupe.

 Enyi madereva na wanao tarajia kupata Gari ujumbe huo nyuma ya gari mkanda wa njano na kati kuna namba za simu mmeona?
 Ujumbe katika maeneo ya Kwaludenge
 Nyumba pembezoni mwa barabara kuu iyendayo Tanga.
 Uchomaji Moto pembezoni mwa barabara maeneo ya kwaludenge na moshi kujaa barabarani inaweza leta ajali.
 Nyumba zilizopo pembeni mwa barabara hiyo.

 Shell iliyopo maeneo ya Kabuku ikiwa na Bei elekezi iliyo tolewa na mamlaka husika
 Askari wa Feko akisimamisha gari lilolokuwa lina Abiria ambao walikuwa wafanyakazi wa Taasisi ya Mifupa waliokuwa wakienda Tanga katika baraza la wafanyakazi kwa vikao, Dereva wa gari lililo wabeba wafanyakazi hao ilimlazimu kutaka kupita  baada ya kuona akiongea na gari lenye usajili namba ATK 7276 la mbele kwa zaidi ya dakika 8
 Akiwa kazini maeneo ya Kabuku
Akifungua njia baada ya gari ATK 7276 kuamriwa na askari huyo kumwambia dereva huyo aingize gari kituoni hapo.


Mwanamama akiwa na baiskeli akibeba madumu  akienda kutafuta maji
Wanachama wa Timu ya Simba wakiwa wanajipanga kwenda Uwanja wa Mkwakwani Tanga
Wanafunzi Sc wakiwa wanatoka  maeneo ya Segera

Wanachama wa Timu ya Simba wakiwa hawaeleweki wanapokwenda  wakiwa katiak Fuso maeneo ya Segera kama walivyonaswa na ripota wa blog ya ujijirahaa
Mfugaji wa Mifugo akiwa anatoka  kukata majani 

Alama za Barabarani nimuhimu kuweka mara Gari linapo haribika
wanafunzi wakitoka mashuleni na wakisubiri usafiri katika maeneo ya  Taula
Askari wa Usalama Barabarani akiongea na wahusika wa gari aina ya Fuso na  namba za Gari haikuweza kupatikana maramoja.
Uchomaji wa mazingira pembezoni mwa  barabarani ni hatari 

Wananchi wakiwa wanatoka katika utafutaji  Maji maeneo Lusanga

Mfanya biashara akisaka wateja

Magari yakipishana yakiwa katika mwendo kasi maeneo ya Tanganyika Tanga
Askari wa Usalama barabarani akiongea na Dereva mwenye Gari lenye namba za usajili T 854 BXN, baada ya kukiuka sheria za barabarani maeneo ya Bagamoyo njia kuu ya Tanga
Wafanya biashara wakipakia madumu kwenye Gari tayari kwa kufata maji ya biashara.
Njia inayo ingia katika Gereza Kuu la Maweni Tanga
Stendi mpya ya Mabasi Tanga
Maeneo ya Bagamoyo barabara kuu ya Tanga wafanya biashara wa Maji wakiwa wameweka  madumu  barabarani kwa kusubiri usafiri kwa kufata maji ya Biashara ambapo dumu la maji huuzwa 700/ katika maeneo hayo.

0 comments: