Rais Kikwete akutana na Waziri wa Biashara wa Ufaransa

         
D92A3170 D92A3149 D92A3168Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri wa Bishara na Mjumbe Maalumu wa Rais wa Ufaransa Mhe. Nicole Bricq ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Mjumbe huyo aliwasilisha ujumbe huo wa Rais wa Ufaransa Francois Hollande na kufanya mazungumzo na Rais Kikwete(picha na Freddy Maro)

0 comments: