SIMU YAMPONZA DEREVA NAKUACHA NJIA

Gari lenye namba za Usajili T 572 EFC laacha njia eneo la Bandari kwa kile kinachodaiwa na chanzo cha habari ni Simu akiwa kwenye kona na gari kupinduka na Wasamaria wema kumsaidia kuliinua. (PICHA NA KHAMISI MUSSA) 


 

0 comments: