NAIBU WAZIRI WA AFYA MGENI RASMI KONGAMANO LA KISAYANSI LA 32 NA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA CHAMA CHA MADAKTARI WA KINYWA NA MENO TANZANIA (TDA) NOVEMBA 22-24 2017

 Kongamano la Kisayansi la 32 na Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania  (TDA) 22-24, Novemba 2017. linatarajiwa kufunguliwa na Mgeni rasmi , Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile katika Ukumbi wa Mkutano wa LAPF uliopo Dodoma,Muda, Saa 3.00.   akimuakilisha  
MH. Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan (NA KHAMISI MUSSA, DODOMA )

0 comments: