BALOZI WA KUWAIT ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA DODOMA

Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem akimkabidhi vitabu Dean School Of Humanities Dodoma UDOM, Profesa Frowin Nyoni (kulia)  na kukutana na baadhi ya viongozi na wahadhiri wa Chuo hicho. kushoto ni Principal College Of Social Sciances and Humanities Profesa, Albino Tenge.
 
 Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem katika picha ya pamoja akisalimiana na Dean School Of Humanities Dodoma UDOM, Profesa Frowin Nyoni ,  (wa nne kushoto)
  Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem akimkabidhi kitabu Principal College Of Social Sciances and Humanities Profesa, Albino Tenge. (kushoto) na kulia ni Dean School Of Humanities Dodoma UDOM, Profesa Frowin Nyoni.
 Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem akielekeza jambo mara baada ya kukabidhi vitabu kwa uongozi wa Chuo hicho
Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem akisaini kitabu cha wageni mara alipowasili katika Chuo Kikuu cha UDOM

0 comments: