MBOWE AFANYA KUFURU JIMBONI KWAKE HAI

Mbunge wa Jimbo la Hai,Freeman Mbowe (kushoto) akisalimiana na Imamu wa Msikiti wa Kambi ya Nyuki, Fahad Lema mara baada ya kuwasilisha ombi la kusaidiwa ujenzi wa vyumba vya madrasa ambapo Mh Mbowe alichangia kiasi cha Sh Mil,2 kwa ajili ya kununua mbao za kuezekea Paa. 

0 comments: