RATIBA YA BONANZA LA KUHAMASISHA MAZOEZI, UCHANGIAJI DAMU NA UPIMAJI AFYA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA, DAR ES SALAAM JUMAMOSI TAREHE 18/2/2017

Na.
            Tukio
Mhusika
Muda
1
Kuw Washiriki kuwasili

Kamati ya Maandalizi
11.30 - 12.00 Asubuhi
2
Kuwasili Mgeni rasmi

Kamati ya Maandalizi

12.00 – 12.10 Asubuhi
3
Mazoezi ya mwanzo ( warm up)

Kamati ya Maandalizi/ wakufunzi wa Mazoezi

12.10 – 12.25 Asubuhi
4.
Matembezi ya Mazoezi

Kamati ya Maandalizi/ wakufunzi wa Mazoezi

12.25 – 1.25 Asubuhi
5.
Mazoezi ya kulainisha viungo baada ya Matembezi

Kamati ya Maandalizi/ wakufunzi wa Mazoezi

1.25 – 1.55 Asubuhi
6

Burdani

1.55 – 2.10 Asubuhi
7.
Taarifa fupi kuhusu Madhumuni ya Bonanza
Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO)
2.10 – 2.15 Asubuhi
8.
Kumkaribisha Mgeni Rasmi
Jukwaa la Wahariri (TEF)
2.15-2.20 Asubuhi
9.
Hotuba ya Mgeni rasmi

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb)
2.20 – 2.40  Asubuhi
10.
Neno la Shukran


Klabu ya Waandishi wa Habari wa Jiji la Dar es Salaam (DCPC)
2.40 -2.45 Asuhihi
11.
Burdan

2.45-3.00 Asubuhi
12.
Kutembelea mabanda ya upimaji Afya bila malipo na Mgeni rasmi kuondoka.

Mgeni rasmi/Viongozi
3.00 – 3.30 Asubuhi

Burdani Kuendelea

3.30 Asubuhi na Kuendelea
13.

Kuendelea na Bonanza, utoaji damu na upimaji Afya
Wote
3.30  Asubuhi na Kuendelea

0 comments: