Uchunguzi wa taasisi hiyo unasema, Trump anachukua hatua zake kwa lengo tu la kutimiza maslahi ya Marekani bila ya kujali taathira zake mbaya kimataifa.
Watafiti wa Eurasia Group wamesema katika ripoti hiyo kwamba, Rais Donald Trump wa Marekani ni mtu mwenye mielekeo ya upande mmoja.
Ripoti ya Eurasia Group imesema kuwa, Donald Trump anataka kudhibiti watu lakini makampuni ya teknolojia yanataka uhuru na kulindwa taarifa za watumiaji wao.
Mkutano wa Usalama wa Munich ulianza kazi zake tarehe 17 Februari ukihudhuriwa na wawakilishi wa nchi nyingi duniani ikiwemo Marekani yenyewe.
0 comments: