Kamanda Muroto akiingia ndani ya nyumba wanayoishi wana JKT katika Kambi yao ya Lugwadu.
Kamanda Muroto (wa tatu kushoto) na Makamanda wezake wakiwa katika nyumba wanayohishi wana JKT.
Mwenyekiti wa wana JKT,Palale Kiwango (kushoto) akizungumza na Makamanda eneo la shamba la Mahindi, Mbaazi na Karanga.
Wana JKT kazini.
Mwenyekiti wa wana JKT, Palale Kiwango (kushoto) akizungumza na Kamanda Muroto.
Mwenyekiti wa wana JKT, Palale Kiwango (kushoto) akizungumza na Makamanda waliowatembelea.
Kamanda Muroto na wezake wakikagua bustani ya mboga.
0 comments: