Bango kama linavyo someka katika Kijiji hicho |
MKURUGENZI WA UJIJIRAHAA BLOG ATEMBELEA STENDI KUU YA MABASI IRINGA NA KUFIKA KILOLO VIJIJINI.
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 12:30 PM
Wanafunzi wanaotoka Shule mbalimbali wakiwa hawajui wafanye nini baada ya usafiri katika kituo cha Mabasi Iringa Mjini leo kwa usafiri kuwa washida, ambapo wanafunzi hao wamefunga Shule na wanarudi makwao kwa maandalizi ya Upigaji kura katika Daftari la wapigakura. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Taswira katika Stendi ya Mabasi Iringa Mjini hali ilivyokuwa tete
Wanafuzi walionekana wengi kituoni hapo
Wananchi wakiwa katika kituo hicho cha Mabasi Iringa Mjini
Wanafunzi wakishauriana jambo
Mfanya biashara wa makoti akisaka wateja katika stendi kuu ya mabasi Iringa Mjini
Wanafunzi wakiwa na sintofahamu wakiwa katika mshangao
Mkurugenzi wa Ujijirahaa blog akisoma bango la Halmashauri ya Kilolo
Hapa kazi tu
Bango kama linavyo someka
Bango kama linavyo someka
Barabara iendayo Halmashauri ya Kilolo
Wanakijiji cha Ndiwili Kataa ya Luhota Wilaya ya Iringa (v) Mkoa wa Iringa katika mauzo ya nyanya maji wakiwasubiri wateja
Wanakijiji cha Ndiwili Kataa ya Luhota Wilaya ya Iringa (v) Mkoa wa Iringa katika mauzo ya nyanya maji wakisubiri wateja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: