JK AMPATIA BAJAJI MWANAFUNZI MLEMAVU HAROUB SOUD MZEE

Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi Bw. Haroub Soud Mzee ambaye ni mlemavu wa miguu bajaji itakayomsaidia katika shughuli zake mbalimbali za kimasomo. Bw. Mzee ni mwanafunzi wa Uhasibu mwaka wa tatu katika Chuo Kikuu cha Kampala University jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Kikwete akisoma maelezo ya kadi ya bajaji aliyemkabidhi. Haroub Soud Mzee ambaye ni mlemavu wa miguu bajaji itakayomsaidia katika shughuli zake mbalimbali za kimasomo. Picha na Magreth Kinabo - MAELEZO

0 comments: