Rais. Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Chuo cha Ukamanda na unadhimu Dukuti nje kidogo ya mji wa Arusha
Mkuu wa Chuo Cha Ukamanda na Unadhimu Meja Jenerali Ezekiel Kyunga kulia akimuonyesha Amiri Jeshi Mkuu Rais Kikwete maeneo mbalimbali ya Chuo hicho muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuzindua Chuo hicho eneo la Duluti nje kidogo ya mji wa Arusha. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua vitabu katika maktaba ya Chuo cha Unadhimu na Ukamanda alichokizindua.
Rais Kikwete akiangalia mitaala inayofundishwa katika chuo cha Ukamanda na Unadhimu katika moja ya kompyuta chuoni hapo muda mfupi baada ya kuzindua chuo hicho eneo la Duluthi nje kidogo ya mji wa Arsuha . Kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho Meja Jenerali Ezekiel Kyunga.
0 comments: