CHAMA CHA WANANCHI CUF KUZINDUA KAMPENI ZA UDIWANI WILAYA YA NYAMAGANA MWANZA

Chama cha Wananchi CUF Wilaya ya Nyamagana Mwanza Kimezindua Kampeni za Uchaguzi wa Udiwani katika Kataa hiyo, Chama kimemnadi Mgombea Udiwani Juma Masanja (DADI) na Diwani Viti Maalum, Ester Kwesi , ambapo mgeni Rasmi alikuwa Mwenyekiti wa Nyamagana  Salum Jumah. 

0 comments: