Posted by
khamisimussa77@gmail.com
at
7:41 AM
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitambulishwa na Mbunge wa Hanang na Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Ukezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary (kulia) kwa
Wananchi kutoka jimbo hilo waliotembelea Bunge mjini Dodoma Junu 27 kwa
mwaliko wa mbunge wao.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge kwenye viwanja vya Bunge
Mjini Dodoma juni 27, 2014. Kutoka kushoto ni Martha Mlata wa Viti
Maalum,Tundu Lissu wa Singida Masharikina na Felister Bura wa Viti
Maalum. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Mbinga Magharibi Cpt. John Komba, Bungeni Mjini Dodoma Juni 27, 2014.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge Samuel Sita wa Urambo
Masharikiambaye pia ni Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki
(katikati) na Mbunge wa Tabora mjini Aden Rage kwenye viwanja vya Bunge
mjini Dodoma Juni 27, 2014.
chanzo:jiachie.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: