KAMATI YA ARDHI ,MALIASILI NA MAZINGIRA YATEMBELEA MIRADI YA SHILIKA LA NYUMBA TAIFA (NHC)

 Mkurugenzi Ubunifu wa mradi wa Shilika laNyumba la Taifa (NHC) Kibada,  Issack Peter, akitoa maelezo ya kina kwa kamati ya Ardhi ,Maliasili na Mazingira,  kutokana na Gharama za ujenzi wa nyumba za Gharama za Bei nafu  ,wakiongozwa na Mwenyekiti wa Ardhi ,Maliasili na Mazingira , James Lembeli . watatu kushoto na wabunge wengine akiwemo Dkt Mary Mwanjelwa ,wapili kulia mwenye kofia. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa www.ujijirahaa.blogspot.com.
  Mkurugenzi Ubunifu wa mradi wa Shilika laNyumba la Taifa (NHC) Kibada,  Issack Peter, akitoa maelezo ya kina kwa kamati ya Ardhi ,Maliasili na Mazingira, iliyo tembelea leo kuangalia miradi hiyo.
 Ofisa Meneja Mauzo kitengo cha Shirika la Nyumba Taifa (NHC), Sophia Said ,akimuonesha  Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira,James Lembeli, moja ya mchoro wa ramani ya Majengo 214, ambayo yanatarajiwa kujengwa kupitia shirika hilo katika maeneo ya Mwongozo Kigamboni Dar es Salaam leo,Baada ya kamati hiyo kutembelea baadhi ya miradi hiyo ,ambapo Kibada zimwjengwa nyumba 2o9 
M

0 comments: