MBUNGE WA JIMBO LA TEMEKE ABBS MTEMVU AKIKABIDHIWA MAGODORO 30 NA KIKUNDI CHA AKINAMAMA, NEEMA WOMAN'S POWER(NWP) .

 Mbunge wa temeke Abbas Mtemvu akisalimiana na Mgeni Otto  katibu wa kikundi cha Neema Woman's Power(NWP) mara alipowasili katika hospitali ya temeke.
 Mbunge wa temeke  Abbas Mtemvu akisalimiana na Maryam Dedes Mwenyekiti wa  Neema Woman's Power(NWP).
 .Mbunge wa temeke Abbas Mtemvu akisalimiana na Moshi Ndungu ,mjumbe halmashauri tawi la Azimio.

 Mbunge wa temeke Abbas Mtemvu akisalimiana na Ester Swai kamanda Uvccm wilaya ya Temeke.
 Mbunge wa temeke  Abbas Mtemvu.(kulia)na wanao fatia (kushoto) Ally Bakari,mwenyekiti wa Vetarani wilaya ya temeke,Moshi Ndungu ,mjumbe halmashauri tawi la Azimio, Shabani Mchumira Mea wa zamani wilaya ya temeke na Ester Swai kamanda Uvccm wilaya ya Temeke.
 Mbunge wa jimbo la temeke  Abbas Mtemvu akisalimiana na   Ally Bakari,mwenyekiti wa Vetarani wilaya ya temeke mara baada ya mbunge kuwasili katika hospitali ya Temeke kwa hafla fupi ya kukabidhiwa magodoro 30 na kikundi cha akinamama cha Neema Woman's Power(NWP)
 Magodoro yakishushwa kwaniaba ya kukabidhiwa kwa Mbunge Abbas Mtemvu
 Mbunge wa jimbo la  temeke  Abbas Mtemvu akisalimiana na mmoja wa akinamama wa kikundi cha Neema Woman's Power(NWP) 

  Mbunge wa jimbo la  temeke  Abbas Mtemvu akiweka saini kwenye kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika hospitali ya temeke

  Maryam Dedes Mwenyekiti wa  Neema Woman's Power(NWP).akiweka saini kwenye kitabu cha wageni (kushoto)ni Mbunge wa jimbo la  temeke  Abbas Mtemvu  na (kulia ni )Mgeni Otto ,katibu wa chama hicho

 mmoja wa akinamama wa kikundi cha Neema Woman's Power(NWP) akiweka saini kwenye kitabu cha wageni















Mbunge wa temeke  Abbas Mtemvu akikabidhiwa magodoro 30 na Maryam Dedes ambae ni mwenyekiti wa kikundi cha Neema Woman's Power (NWP)




.Mbunge wa temeke  Abbas Mtemvu akikabidhi kwa Lucy Sozigwa ambae ni katibu wa hospitali ya temeke  moja ya magodoro 30 yaliotolewa na kikundi cha akina mama wa  Neema Woman's Power (NWP).



Picha ya pamoja

Picha ya pamoja katika nyuso za tabasam

Mbunge wa temeke  Abbas Mtemvu akiwashukuru akinamama wa kikundi cha Neema woman's power(NWP)
 (PICHA ZOTE NA ujijirahaa.blogspot.com)

0 comments: