YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA JANA MEI 8, 2017

Mbunge wa Viti Maalum(CHADEMA)  Mhe.Catherine Nyakao Ruge  akila kiapo cha uaminifu mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa katika  kikao cha kumi na Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 jana Mjini Dodoma Mei 8, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum Mhe.Mariam Kisangi(CCM) akiuliza swali katika  kikao cha kumi na Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 jana Mjini Dodoma Mei 8, 2017.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais –TAMISEMI Mhe.Selemani  Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha kumi na Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 jana Mjini Dodoma Mei 8, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Angelina Malembeka (CCM) akiuliza swali katika  kikao cha kumi na Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 jana Mjini Dodoma Mei 8, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Angelina Kairuki akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha kumi na Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 jana Mjini Dodoma Mei 8, 2017.
Naibu Waziri Maliasili na Utalii Mhe.Eng Ramo Makani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha kumi na Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 jana Mjini Dodoma Mei 8, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum(CHADEMA)  Mhe.Catherine Nyakao Ruge  akichangia mchango wake wa kwanza katika  kikao cha kumi na Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 jana Mjini Dodoma Mei 8, 2017.
Naibu  Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Edwin Ngonyani   akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha kumi na Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 jana Mjini Dodoma Mei 8, 2017.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Prof Palamagamba Kabudi akijibu hoja Mbalimbali za Wabunge  katika  kikao cha kumi na Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 jana Mjini Dodoma Mei 8, 2017.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Harrison Mwakyembe akiwa na Naibu wake wakifuatilia hoja mbalimbali za wabunge katika  kikao cha kumi na Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 jana Mjini Dodoma Mei 8, 2017.
Mbunge wa Mikumi(CHADEMA) Mhe. Joseph Haule akichangia hoja katika  kikao cha kumi na Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 jana Mjini Dodoma Mei 8, 2017.(PICHA ZOTE NA MAELEZO, DODOMA)

0 comments: