WAZIRI WA FEDHA ZANZIBAR AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI


Waziri wa Fedha Zanzibar Dk Khalid Salum Mohd akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Mipango Mapendekezo ya Bajeti (Mapato na matumizi) ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2017-2018. Katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha Vuga Mjini Unguja.
 Mwandishi wa Habari wa Hits Fm Jazaa Kombo katikati akiuliza maswali kwa Waziri wa Fedha Zanzibar Dk Khalid Salum Mohd  alipozungumza na Waandishi kuhusiana na Mipango Mapendekezo ya Bajeti (Mapato na matumizi) ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2017-2018. Katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha Vuga Mjini Unguja.
 Mwandishi wa Habari wa Habari Leo Khatib Suleiman akiuliza maswali kwa Waziri wa Fedha Zanzibar Dk Khalid Salum Mohd  alipozungumza na Waandishi kuhusiana na Mipango Mapendekezo ya Bajeti (Mapato na matumizi) ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2017-2018.Katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha Vuga Mjini Unguja.
Waziri wa Fedha Zanzibar Dk Khalid Salum Mohd akifafanua jambo kwa  Waandishi wa Habari kuhusiana na Mipango Mapendekezo ya Bajeti (Mapato na matumizi) ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2017-2018.Katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha Vuga Mjini Unguja.
 Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika mkutano wa waandishi wa habari na  Waziri wa Fedha Zanzibar Dk Khalid Salum Mohd kuhusiana na Mipango Mapendekezo ya Bajeti (Mapato na matumizi) ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2017-2018.Katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha Vuga Mjini Unguja.
(PICHA NA YUSSUF SIMAI /MAELEZO ZANZIBAR).

0 comments: