WANAFUNZI WA SEKONDARI YA BENJAMINI MKAPA DAR KESHO KUFANYA MITIHANI

 Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Benjamini Mkapa wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya mitihani na kesho Mei 9, 2017 wanatarajia  kufanya mitihani yao ya kidato cha Sita (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Wanafunzi hao wakiwa wanatoka baada ya kumaliza mitihani ambapo kesho wanatarajia kufanya mitihani yao ya kumaliza kudato cha Sita

0 comments: