MAKAMU WA RAIS AWATEMBELEA MAJERUHI WA AJALI YA KARATU HOSPITALI


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Mwanafunzi wa Lucky Vincent, Sadia Isamel Awadhi mwenye umri wa miaka 11 ambaye ni mmoja wa majeruhi waliolazwa kwenye hospitali ya mkoa wa Arusha ya Mt. Meru,  (PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali  mwanafunzi  Shule ya Lucky Vincent Godfrey Tarimo  
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali mwanafunzi wa Lucky Vincent, Doreen Mshana mwenye umri wa miaka 13  (Picha na Ofisi ya Maku wa Rais)

0 comments: